TIGO WATUA BUNGENI, PATA MKOPO WA SIMU KWA TSH. 1000

Na Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo ipo katika viwanja vya bunge,ikiwa na banda mahususi litoalo huduma na bidhaa zao mbalimbali kwa wabunge , wafanyakazi na wateja mbalimbali ambapo kubwa zaidi ni uwepo wa simu janja ambayo kila mtanzania anaweza kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku